Queen kama alitamka kwenye kampein hutasiliwa kama ahadi za kampen ambazo wananchi wengi hawatabaini kama alitamka tu na haipo kwenye ilani so lazima itekelezwe
Lakini, nadhani pointi ya kwamba tofauti kati ya ahadi ya jukwaani na ahadi ambayo iko kwenye ilani haiondoi ukweli kwamba zote ni ahadi halali anaielewa.
Kwa mfano, Rais Magufuli ametoa ahadi zaidi ya 10 jukwaani kwenye kampeni ambazo hazimo ktk ilani, na zote ni ahadi halali.
Tatizo lake ni kukurupuka:
Yeye amejishtaki, na kuna mchangiaji mmoja amemjibu vizuri.
Queen Esther amesoma aya ya kwanza (Afya) akahitimisha kwamba bandiko linamshambulia Rais Magufuli na kuiponda Ilani ya CCM.
Basi akaanza kubutua hoja ambayo hajaielewa, kwani alikuwa bado hajafanya
argument analysis, evaluation, and rebutting.
Anasema kuwa, yeye amesoma hiyo aya moja inayomhusu, na anawaomba "wenzake" wasome aya baki.
Nilicheka sana.
Kwa maoni yangu, tatizo lake hajafunzwa vema
rules of text analysis, argument analysis, argument evaluation and argument rebutting.
Au ndio ametoka hivi karibuni kule Malindi (ya Zanzibar).
Kusudi aweze kupambana na magwiji wa hoja kama Mama Amon anapaswa atulie, akubali kufundishika.
Ujuzi wa aina hii hauji haraka.
Ni matokeo yauzoefu wa zaidi ya miaka mitano.
Akikua ataacha papara.
Jambo zuri kwake, ni mzalendo kweli!
Tehe tehe teeeeeh!