Evarm JF-Expert Member Joined Aug 30, 2010 Posts 1,994 Reaction score 1,540 Dec 30, 2011 #21 1. Kula chakula mara tatu bila ya kusahau matunda na mbogamboga kwa wingi. 2. Punguza mawazo: Mawazo hufanya watu kupungua kwa haraka zaidi. 3. Rizika jinsi hivyo ulivyo na ujikubali/ulichonacho. 4. Pumzika vya kutosha.
1. Kula chakula mara tatu bila ya kusahau matunda na mbogamboga kwa wingi. 2. Punguza mawazo: Mawazo hufanya watu kupungua kwa haraka zaidi. 3. Rizika jinsi hivyo ulivyo na ujikubali/ulichonacho. 4. Pumzika vya kutosha.
M Mpigaji JF-Expert Member Joined Feb 6, 2011 Posts 384 Reaction score 42 Dec 30, 2011 #22 mutukwao said: jamani naombeni maujanja yanu.nifanyeje niongeze mauzito?nina 48kg and my height ni 5.6 so th weit is nt proportional to th heit. Click to expand... koroga uji wa cement kila siku asubuhi kwa muda wa miezi 3!
mutukwao said: jamani naombeni maujanja yanu.nifanyeje niongeze mauzito?nina 48kg and my height ni 5.6 so th weit is nt proportional to th heit. Click to expand... koroga uji wa cement kila siku asubuhi kwa muda wa miezi 3!
aikaruwa1983 JF-Expert Member Joined May 6, 2011 Posts 1,398 Reaction score 1,500 Dec 30, 2011 #23 komaa na shwain lazima shavu lije coz huyu mdudu anamiujiza zaidi ya ei ara vi!!! ila umeshawahi kucheki moto! isijekuwa umeshalipuka!
komaa na shwain lazima shavu lije coz huyu mdudu anamiujiza zaidi ya ei ara vi!!! ila umeshawahi kucheki moto! isijekuwa umeshalipuka!
MATESLAA JF-Expert Member Joined Aug 11, 2011 Posts 1,246 Reaction score 75 Dec 31, 2011 #24 kunjwa maji ya moto asubui
kichomiz JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 19,257 Reaction score 12,244 Dec 31, 2011 #25 Mpigaji said: koroga uji wa cement kila siku asubuhi kwa muda wa miezi 3! Click to expand... Ebwana eeeeh hii ni mpya kabisa,tehe tehe tehe!!!!!!!!!!!!!!!!!.
Mpigaji said: koroga uji wa cement kila siku asubuhi kwa muda wa miezi 3! Click to expand... Ebwana eeeeh hii ni mpya kabisa,tehe tehe tehe!!!!!!!!!!!!!!!!!.