Mwembamba kama kijiti!

Mwembamba kama kijiti!

1. Kula chakula mara tatu bila ya kusahau matunda na mbogamboga kwa wingi.
2. Punguza mawazo: Mawazo hufanya watu kupungua kwa haraka zaidi.
3. Rizika jinsi hivyo ulivyo na ujikubali/ulichonacho.
4. Pumzika vya kutosha.
 
jamani naombeni maujanja yanu.nifanyeje niongeze mauzito?nina 48kg and my height ni 5.6 so th weit is nt proportional to th heit.

koroga uji wa cement kila siku asubuhi kwa muda wa miezi 3!
 
komaa na shwain lazima shavu lije coz huyu mdudu anamiujiza zaidi ya ei ara vi!!! ila umeshawahi kucheki moto! isijekuwa umeshalipuka!
 
Back
Top Bottom