Lewis254 JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 7,729 Reaction score 3,569 Aug 15, 2018 #21 how comes watu waliobobea kwa kufanya shopping chini ya miembe na minazi wako na maswali most....
Mpendwa1 JF-Expert Member Joined Dec 6, 2013 Posts 568 Reaction score 387 Aug 16, 2018 Thread starter #22 Geza Ulole said: Sioni hata sidewalk Kwa ajili ya pedestrians! Click to expand... Cheki hiyo picha ya mwisho hapo. Unaona hayo mabati wameziba nayo? hapo nadhani ndio njia ya watu kupitia lakini lazima wafunge njia kwa watu wa miguu sababu ya ujenzi. Kwa hivyo nadhani wakimaliza ujenzi watafungua njia. So iko ni vile tu mafunga kwa sasa 😉
Geza Ulole said: Sioni hata sidewalk Kwa ajili ya pedestrians! Click to expand... Cheki hiyo picha ya mwisho hapo. Unaona hayo mabati wameziba nayo? hapo nadhani ndio njia ya watu kupitia lakini lazima wafunge njia kwa watu wa miguu sababu ya ujenzi. Kwa hivyo nadhani wakimaliza ujenzi watafungua njia. So iko ni vile tu mafunga kwa sasa 😉