Mwembe Tayari Mall, Mombasa - Under Construction

Mwembe Tayari Mall, Mombasa - Under Construction

how comes watu waliobobea kwa kufanya shopping chini ya miembe na minazi wako na maswali most....
 
Sioni hata sidewalk Kwa ajili ya pedestrians!

Cheki hiyo picha ya mwisho hapo. Unaona hayo mabati wameziba nayo? hapo nadhani ndio njia ya watu kupitia lakini lazima wafunge njia kwa watu wa miguu sababu ya ujenzi. Kwa hivyo nadhani wakimaliza ujenzi watafungua njia.

So iko ni vile tu mafunga kwa sasa 😉
 
Back
Top Bottom