Mwendazake alimlemaza Kiranja Mkuu, sasa asimame ahesabiwe

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,622
Reaction score
8,427
Katika Mataifa yanayofuata mfumo wa Kibunge (Bunge), Namba Tatu ndiye Kiranja Mkuu wa Serikali na kutokana na nafasi yake hiyo, yeye hubaki kuwa kiongozi mashuhuri na hata siku akiondoka kwenye wadhfa huo basi hubaki katika mioyo ya waongozwaji kwa muda mrefu.

Wasiwasi wangu ni kwamba Kiranja Mkuu wa Tanzania kwa sasa hana tofauti na wasaidizi wake. Hasisimui, sio mashuhuri.

Yeye kama Mtendaji Mkuu wa Serikali alipaswa kutamalaki kwenye vinjwa vya Watanzania. Naamini Kiongozi wake wa miaka 5 iliyopita alifanikiwa kumlemaza.

Mwendazake alibeba taswira mbili kwa Wakati mmoja - 1: Yeye alisimama na kujipambanua kuwa ndiye Mkuu wa Taifa 2: Alijipambanua kama Mtendaji Mkuu wa Serikali na kila kitu ni yeye.

Hii ilimfanya Kiranja Mkuu kubaki kuwa mpokea maelekezo, maagizo na kutekeleza matakwa ya Boss wake.

Kiranja Mkuu ni kama alikabidhi utashi na uwezo wake wa kuongozi kwa Boss wake. Isikushangaze ukikutana na Mwananchi ambaye hajui jina la Kiranja Mkuu, sio ajabu.

Yawezekana Siku atakayong'atuka basi huu umaarufu Mdogo alionao utafifia zaidi na hatimaye atasahaulika kabisa.

Nakuomba Namba Tatu wetu tujitahidi kuacha alama yako kwa Watanzania, usikubali kuwa wakawaida, siasa ni mchezo wa umaarufu
 
Kama unasema Kiranja mkuu hana mvuto, je huyo Jumong ana nini, Rais wa kwanza Tz asiye na vision yoyote, at least JK alikuwa ana swagger na mvuto wa kuuza sura nje ya nchi.
 
Si kiranja mkuu tu, bali kiranja wa muhimili wa Bunge na yule wa kuhakikisha Katiba inatafasiliwa vyema - wote watatu wakabakia kungoja mwendazake anakuja na wimbo gani ili waucheze!!

Baadhi ya mawaziri nao waliothubutu kufanya initiative zao bila kumshirikisha waliishia shimo la tewa!!
 
Kama unasema Kiranja mkuu hana mvuto, je huyo Jumong ana nini, Rais wa kwanza Tz asiye na vision yoyote, at least JK alikuwa ana swagger na mvuto wa kuuza sura nje ya nchi.
unataka awe attention seeker? vyombo vyote vimzungumzie yeye , vimtukuze kila wkt? ili iweje
 
Katika Mataifa yanayofuata mfumo wa Kibunge (Bunge), Namba Tatu ndiye Kiranja Mkuu wa Serikali na kutokana na nafasi yake hiyo, yeye hubaki kuwa kiongozi mashuhuri na hata siku akiondoka kwenye wadhfa huo basi hubaki katika mioyo ya waongozwaji kwa muda mrefu.

Wasiwasi wangu ni kwamba Kiranja Mkuu wa Tanzania kwa sasa hana tofauti na wasaidizi wake. Hasisimui, sio mashuhuri.

Yeye kama Mtendaji Mkuu wa Serikali alipaswa kutamalaki kwenye vinjwa vya Watanzania. Naamini Kiongozi wake wa miaka 5 iliyopita alifanikiwa kumlemaza.

Mwendazake alibeba taswira mbili kwa Wakati mmoja - 1: Yeye alisimama na kujipambanua kuwa ndiye Mkuu wa Taifa 2: Alijipambanua kama Mtendaji Mkuu wa Serikali na kila kitu ni yeye.

Hii ilimfanya Kiranja Mkuu kubaki kuwa mpokea maelekezo, maagizo na kutekeleza matakwa ya Boss wake.

Kiranja Mkuu ni kama alikabidhi utashi na uwezo wake wa kuongozi kwa Boss wake. Isikushangaze ukikutana na Mwananchi ambaye hajui jina la Kiranja Mkuu, sio ajabu.

Yawezekana Siku atakayong'atuka basi huu umaarufu Mdogo alionao utafifia zaidi na hatimaye atasahaulika kabisa.

Nakuomba Namba Tatu wetu tujitahidi kuacha alama yako kwa Watanzania, usikubali kuwa wakawaida, siasa ni mchezo wa umaarufu

Siku za mwanzo Mwendazake aliongoza wizara zote mwenyewe, alichukua mwezi na zaidi hajateua waziri hata mmoja
 
Kama unasema Kiranja mkuu hana mvuto, je huyo Jumong ana nini, Rais wa kwanza Tz asiye na vision yoyote, at least JK alikuwa ana swagger na mvuto wa kuuza sura nje ya nchi.
Shwain mkubwa....eti hana mvuto....Nyie masalia ya Mwendazake mnatabu Sana..
 
Yuko busy na timu ya Namungo acheni majungu
 
Katika Mataifa yanayofuata mfumo wa Kibunge (Bunge), Namba Tatu ndiye Kiranja Mkuu wa Serikali na kutokana na nafasi yake hiyo, yeye hubaki kuwa kiongozi mashuhuri na hata siku akiondoka kwenye wadhfa huo basi hubaki katika mioyo ya waongozwaji kwa muda mrefu.

Wasiwasi wangu ni kwamba Kiranja Mkuu wa Tanzania kwa sasa hana tofauti na wasaidizi wake. Hasisimui, sio mashuhuri.

Yeye kama Mtendaji Mkuu wa Serikali alipaswa kutamalaki kwenye vinjwa vya Watanzania. Naamini Kiongozi wake wa miaka 5 iliyopita alifanikiwa kumlemaza.

Mwendazake alibeba taswira mbili kwa Wakati mmoja - 1: Yeye alisimama na kujipambanua kuwa ndiye Mkuu wa Taifa 2: Alijipambanua kama Mtendaji Mkuu wa Serikali na kila kitu ni yeye.

Hii ilimfanya Kiranja Mkuu kubaki kuwa mpokea maelekezo, maagizo na kutekeleza matakwa ya Boss wake.

Kiranja Mkuu ni kama alikabidhi utashi na uwezo wake wa kuongozi kwa Boss wake. Isikushangaze ukikutana na Mwananchi ambaye hajui jina la Kiranja Mkuu, sio ajabu.

Yawezekana Siku atakayong'atuka basi huu umaarufu Mdogo alionao utafifia zaidi na hatimaye atasahaulika kabisa.

Nakuomba Namba Tatu wetu tujitahidi kuacha alama yako kwa Watanzania, usikubali kuwa wakawaida, siasa ni mchezo wa umaarufu
hivi boss unayemuongelea ni yule dikteta uchwara aliyeenda kujenga kiwanja cha ndege kule porini kwa mabilioni ya walipa kodi na sasa hakina kazi? vitu vingine vinakera sana hata kuvisikia hasa unaposikia mpuuzi wa aina huyo anasifiwa.
 
Back
Top Bottom