Mwendazake ni marehemu

Mwendazake ni marehemu

Ahad ndio ya mwanzo yaani jumapili.
Ithnayn ndio jumatatu
Thulathai ndio jumanne
Arbiai ndio jumatano
Khamis ndio alkhamis
Jumua ndio ijumaa
Na sabt ndio jumamosi
 
Kuita mtu wanasema "kuitana" kutuma ni Kutumana,kondakta ni Makanga,bodaboda ni "Nduthi" kibarua wanaita "Katara, mtu maarufu wanamwita "mtu Tajika"bongo tulishasahau maneno kama mlimbwende na kidosho ila kenya bado ni maarufu, kiswahili cha hapa ni tabu tupu,hapa nimetoka "kuabiri"(kukodisha) nduthi mwingine mnono hadi nimecheka.
 
Back
Top Bottom