Waasalam;
jana ilikuwa zamu yetu/me kufunguka. Uzi ulinoga kinoma. Leo ni zamu ya wanawake kufunua mioyo yao kuwataja wawavutiao . Sijui ile fomular ya "if you do me I do you" itachukua nafasi! !!( najiuliza tu).
Uzi ungenoga kama angeanzisha mdada ila sioni dalili. OK hakijaharibika kitu . .kazi kwenu kidada funguka unaevutiwa nae....