Mwendelezo: Funguka mwanaume unaevutiwa nae JF

Hahahaha

Kigogo ana vituko sana,halafu ana tukana sana aisee,haogopi yulee
Hadi kapigwa tofali na VP wa Kenya, Willium Ruto

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Ngoja nipitie uzi nione kama nishafungukiwa
 
Hadi kapigwa tofali na VP wa Kenya, Willium Ruto

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Ngoja nipitie uzi nione kama nishafungukiwa
Hahahaha

Naffikiria viongozi wengi watakua wamempiga tofali maana jamaa ana tukana sana!
 
Hahahaha

Naffikiria viongozi wengi watakua wamempiga tofali maana jamaa ana tukana sana!
Kweli mkuu hasa kwa Viongozi wanaopenda kutweet mara kwa mara..

Ila kwa Mkemia wetu hana hata habari maana anatweet mara moja moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…