princemikazo
JF-Expert Member
- Jan 10, 2019
- 2,195
- 2,056
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengine tunaonekana Kama kinyesi.[emoji41][emoji41][emoji41]
Hahahaha[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hilo liavatar lako kila nikilipna nakumbuka vituko vya Kigogo wa Twitter
Hadi kapigwa tofali na VP wa Kenya, Willium RutoHahahaha
Kigogo ana vituko sana,halafu ana tukana sana aisee,haogopi yulee
[emoji173][emoji173][emoji173][emoji173]Mie wala sichepuki T, unanijua vema! Venye mezoea utani
HahahahaHadi kapigwa tofali na VP wa Kenya, Willium Ruto
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ngoja nipitie uzi nione kama nishafungukiwa
Ukimaliza kuwafungukia wote usinisahau na mimi....[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Kweli mkuu hasa kwa Viongozi wanaopenda kutweet mara kwa mara..Hahahaha
Naffikiria viongozi wengi watakua wamempiga tofali maana jamaa ana tukana sana!
Naomba mniadd huko na mieHahahaha
Kigogo ana vituko sana,halafu ana tukana sana aisee,haogopi yulee
Awww[emoji8]
Tuma hela kwanza kwenye ile namba jiraniNaomba mniadd huko na mie
Kweli kabisa Mkuu!Kweli mkuu hasa kwa Viongozi wanaopenda kutweet mara kwa mara..
Ila kwa Mkemia wetu hana hata habari maana anatweet mara moja moja
Ile namba sina jiraniTuma hela kwanza kwenye ile namba jirani
Naweza nikataka kukuadd kumbe upo siku nyingiNaomba mniadd huko na mie
Mwenyewe nashangaa tu hapa bado sijatajwaKweli kabisa Mkuu!
Naona mabebee wamegoma kunitaja kabisa
We mdaka chozi hukosagi sababu kabisaaaNaweza nikataka kukuadd kumbe upo siku nyingi
mbona kuna siku alikua analalamika kwamba mkemia nae kampiga tofali yule ni shida aise haogopi yoyote yule anamtunaKweli mkuu hasa kwa Viongozi wanaopenda kutweet mara kwa mara..
Ila kwa Mkemia wetu hana hata habari maana anatweet mara moja moja
Mbona mshatajwa kitaaambo sanaMwenyewe nashangaa tu hapa bado sijatajwa
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]Ile namba sina jirani