Mwendelezo: Funguka mwanaume unaevutiwa nae JF

Oooooh!!! Kumbe ndio machungu yake anamalizia kwangu!! Mwambie adinivurugie nyumba yangu tafadhali, Kaboom is everything to me.
Usijali patience123 ni wangu mimba changa inamsumbua tu.
Hata kuharibia atoto
 
Mkuu hali inavyoendelea hapa,inaonyesha tutasubiri kutajwa mpk yesu atakaporudi
Umesema ukweli mkuu, lakini mimi siwezi kuvumilia mpaka yesu arudi ni mbali mno, naona bora nijirushe mtari wa mbele labda watanitaja (I hope).
 
Kama hujatajwa hadi muda huu basi hukushuhudia kupatwa kwa jua coz wanatajwa wamepatwa na she's
 
Hivi bado kaboom auza vifuniko vya asali ati!
Biashara ilimdodea, anadai wadada hawafuniki asali zao siku hizi!! Sasa hivi kaamua kuhamia kwenye kutoga sijui vinini kui ndio anajua.
 
Reactions: kui
Sie wenye damu yakunguni hatuwazi kabisa kama tutatajwa.labda ngoja tusubr
hizi id zinatuponza tusipendwe.....atakaye tangaza kuvutiwa na mimi nampa ofa...akachukue mchuchumio ntakuja kulipa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…