Mwendelezo: Funguka mwanaume unaevutiwa nae JF

Mwendelezo: Funguka mwanaume unaevutiwa nae JF

ukisikia watu wanafululkza ktk ofs za Mtu Mzito na Mshana Jr ndio huu Pa1 na Mzizi Mkavu
 
Nitataja wengi mnooooo,hadi nitajisikia vibaya kama nikiwasahau wengine.
Itoshe tu kusema nawapenda wakaka/baba wote wa JF.
Nina marafiki humu,kaka and of course my baby nae ni JF member[emoji131][emoji132]
Huhuhuuu [emoji126][emoji126][emoji126]

Afadhari nipo kwenye pool
 
Back
Top Bottom