Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daah Nini?Mi mara moja moja ila wewe daaah
Hata mimi nilitaka mchepuko wa kinyaki ikabidi nipige U turn.Hahaha, niliona hiyo mahali.
Mi nakajua Wanyaki afadhali nikataka kutafuta mcheps huko baada ya kushindwana na kaka zangu, kumbe yaleyale. Mweh!
Hata mimi nilitaka mchepuko wa kinyaki ikabidi nipige U turn.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ngoja kwanza mzigo ukae sawa,naogopa kuokota dodo chini ya mnazi[emoji23] [emoji23]
Ye mwenyewe kawavulia kofia.
Wanaogopa dengue labdaAisee hili ni gundu au?
Post ya mwanzo hadi 490 sijaona jina langu, [emoji24][emoji24][emoji24]
Wacha nijaribu kupita tena baadae.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wanaogopa dengue labda
Hahaha hatunywi sumu hatujinyongi, wanyaki mbele kwa mbeleHata mimi nilitaka mchepuko wa kinyaki ikabidi nipige U turn.
Hahaha, niliona hiyo mahali.
Mi nakajua Wanyaki afadhali nikataka kutafuta mcheps huko baada ya kushindwana na kaka zangu, kumbe yaleyale. Mweh!
Oooh hapo sawa!!
Ulimsikia kaka yake Heaven Sent anavyoishukuru serikali kwa kuchagua jua kupatwa mbeya? Haki wamevunja ile rekodi yenu.
Mtuwacheeee wanyaki
Watu na watu wao....
Wengine toka zamani.
(Mwan Fa)
Wanaogopa dengue labda
Ahsante wangu,ktk mambo matamu uwa siogopiNipo hapa usiogope....
Hahaha hatunywi sumu hatujinyongi, wanyaki mbele kwa mbele
Mtuwacheeee wanyaki
Kwa raha zetu, na mkoa wetu kupatwa na juaHahah, there you go gal!
Wanyaki mbele kwa mbele.
Kweli mkuu, jina linabeba uzito mkuuAisee inawezekana. Kuna kila sababu ya kuwasiliana na Invisible nibadilishe hili jina.
Ninakosa mengi kwasababu ya hili jina.
Wanyaki tumevunja recordMmetuzidi kweli, mpaka jua limepatikana kwenu? Itabidi tujipange upya asee.
At least mwezi na nyota vipatikane kwetu, hata kwa kufoji. Mbona tutawarudi kwa mapicha!
Cc atoto
Wanyaki tumevunja record