Mwendelezo: Funguka mwanaume unaevutiwa nae JF

Hahaha, niliona hiyo mahali.

Mi nakajua Wanyaki afadhali nikataka kutafuta mcheps huko baada ya kushindwana na kaka zangu, kumbe yaleyale. Mweh!
Hata mimi nilitaka mchepuko wa kinyaki ikabidi nipige U turn.
 
Reactions: kui
Hata mimi nilitaka mchepuko wa kinyaki ikabidi nipige U turn.
Hahaha hatunywi sumu hatujinyongi, wanyaki mbele kwa mbele
Hahaha, niliona hiyo mahali.

Mi nakajua Wanyaki afadhali nikataka kutafuta mcheps huko baada ya kushindwana na kaka zangu, kumbe yaleyale. Mweh!

Oooh hapo sawa!!
Ulimsikia kaka yake Heaven Sent anavyoishukuru serikali kwa kuchagua jua kupatwa mbeya? Haki wamevunja ile rekodi yenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…