nyamalagala
JF-Expert Member
- Jun 5, 2016
- 744
- 673
Mwache mwenzako afunguke ya moyoni.Ukirogwa usije kutulalamikia humu!!
Asa huyo aliyemzimia sio aisee....!Mwache mwenzako afunguke ya moyoni.
Kama amemzimia mengine yote ni ajari kazini[emoji1] [emoji1] [emoji1]Asa huyo aliyemzimia sio aisee....!
Haya bhana.... Mapenzi upofuKama amemzimia mengine yote ni ajari kazini[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Mkuu si umewahi kusikia ule wimbo wa maua samma.....huyu anaomba Mshana Jr ampondeponde kama nyanya[emoji1] [emoji1] [emoji1] nadhani kila kitu hatakisikia wala kuonaHaya bhana.... Mapenzi upofu
Yaaani kwanini lakiniUkifura unavokua mbaya sasa... Hebu jiangalie kwa kioo
Alitaka kunishikisha... nikajiongeza kidogo nikampiga chini fastaa.Hivi ww hushiki pembe kweli?
Teh teh teh...Akiwa house boy atafaidi vya bos.
Naona unanitesa dawa yako ni kukupachika mimb...za mfululizo
Unaniudhi sana
I luv you moch...kwa lafudhi ya kinijeriaTeh teh teh...
Labda kama ile nyota ya kijani imekuwa njano ndio utanipachika za mwendokasi.. Teh
Unanipa wakati mgumu sana...I luv you moch...kwa lafudhi ya kinijeria
Hebu kata mzizi wa fitina bhanaUnanipa wakati mgumu sana...
Ulinishikisha pembe ujue...
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]Wakuu QUIGLEY Superiority Complex naona mmekuwa walinzi wa huu uzi mnaulinda na kuambatana nao kila page.....kama mngekuwa kule Vikindu basi mngewadaka wote aise.
Vipi tena? mbona wang'ata meno?[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
HahahaVipi tena? mbona wang'ata meno?
Nilishaukata mbona.. Nampenda sana yule bwana mdogo..Hebu kata mzizi wa fitina bhana
Kwa heriNilishaukata mbona.. Nampenda sana yule bwana mdogo..
Asante baeKwa heri
Nakupenda wewe mtani wangu ... you are the choice of my heart...Mtani wangu kipenzi atakuja kumaliza kesi.