Mwendelezo: Funguka mwanaume unaevutiwa nae JF

Mwendelezo: Funguka mwanaume unaevutiwa nae JF

Maajabu ya mwaka utavutiwaje na mtu usiyemuona wala kumjua? Duuu tz ya viwanda caming soon huu si ufukunyuku huu
 
Mkuu una maanisha nini?
Basi kama hujanielewa imetokea bahati mbaya.
Nilimaanisha kuwa ulitamani useme neno juu ya quigley na superiority ili kuvuta atensheni zao kwako ili useme nao..na nkakwambia kama ndo lilikuwa kusudio lako hilo basi umeweza.
 
Aisee umepotea balaa...hao watu wanafaida gani kwangu kiasi cha kutamani attention zao?....they can't even warm my bed.
 
Aisee umepotea balaa...hao watu wanafaida gani kwangu kiasi cha kutamani attention zao?....they can't even warm my bed.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Jf raha kweli
Hivi kitanda chako cha baridi kumbe!
Mkuu usjali sana hawa watu wanafahamiana so wanajua walitendalo wateme tu.
Paulo alisema kwa Warumi hivi;
Neno la msaba ni nguvu kwao waokolewao, LAKINI ni upuzi kwao wanaopotea.
Maana yangu ni hii, yapo mambo ambayo wew waweza kuyaona ni ujinga flan kwa wayatendayo
Lakini watendaji kwao ni fahari.
Asante mkuu nashauri uwateme kwa amani tu, ukiwa kimya utakuwa umenijibu
 
Back
Top Bottom