Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nataka uwe kisiwa asiwepo wa kukusogelea ntajenga kambi ya watalii hukoSijakuelewa
Mkuu una maanisha nini?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Azima yako imetimia
Ulitamani kusema na hawa watu sasa umeweza.
Inaelekea wewe ni kichwa
Mtu anavutiwa na Avatar kwanza....Maajabu ya mwaka utavutiwaje na mtu usiyemuona wala kumjua? Duuu tz ya viwanda caming soon huu si ufukunyuku huu
Hahahaa....Mkuu nimechochea mapenzi au?Huo ni uchochezi mkuu.
[emoji173][emoji173]Nataka uwe kisiwa asiwepo wa kukusogelea ntajenga kambi ya watalii huko
Basi kama hujanielewa imetokea bahati mbaya.Mkuu una maanisha nini?
Hii ndio tunda gn tena[emoji173][emoji173]
Nimekosea...hiyo ilikuwa iende kwa Stunter nirudishie.Hii ndio tunda gn tena
Aisee umepotea balaa...hao watu wanafaida gani kwangu kiasi cha kutamani attention zao?....they can't even warm my bed.Basi kama hujanielewa imetokea bahati mbaya.
Nilimaanisha kuwa ulitamani useme neno juu ya quigley na superiority ili kuvuta atensheni zao kwako ili useme nao..na nkakwambia kama ndo lilikuwa kusudio lako hilo basi umeweza.
Nimeshakula rusha lingine ntakurudishiaNimekosea...hiyo ilikuwa iende kwa Stunter nirudishie.
Sasa ukajidai hujui ni nini hiyo mweeeerNimeshakula rusha lingine ntakurudishia
thank uu!Ajabu sipati notifications za thread hii kabisa
karibu babe...i am humbled...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Aisee umepotea balaa...hao watu wanafaida gani kwangu kiasi cha kutamani attention zao?....they can't even warm my bed.
[emoji23]Sasa ukajidai hujui ni nini hiyo mweeeer
Labda nitaje top ten ninaowapenda[emoji1]