Mwendelezo: Funguka mwanaume unaevutiwa nae JF

Duh! Shukran bibie maana nilitaka ikifika saa sita nianze kusoma dua mbaya mbaya tu ilikuwa jana ikapita na leo tena ingepita!huyu bundi na aende kwa wengine umenitoa mrithi kama kwenye karata udumu milele.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji4] [emoji4] karibu tena wangu!
Mnanikosha sana japo wapo wengi mnoo humu but mawazo yako tofauti!
 
Na sasa baada ya uwepo wangu kutambuliwa na itifaki kuzingatiwa nausoma huu uzi kivivuvivu maana mwanzo nilikuwa nikisoma herufi kwa herufi sasa naweza hata kuruka comments 10 bila wasiwasi.
 
Asante dogo, wewe tafuta tu mbona wapo wengi. Naweza hata kukusaidia ku-pin point mdada!!
Uniletee mchepuko wako[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…