KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Mpwa mbona unanionea wivu? Yani kupendwa na mtani wangu unakuwa na wivu, sisi tunamaanisha mpwa!![emoji12] [emoji125]
Sio wivu bali nakuonea huruma maana nakujua wewe moyo wako wa plastic....huwezi kuhimili hili joto la huba....