KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Kwa hekima na busara walizonazo... They might flock together...
Mjomba.[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
...and that's why I'm trying to do the needful my mtani. Hapa kuna mwanga, japo mpwa wangu anakuwa slow kidogo.Kwa hekima na busara walizonazo... They might flock together...
Mtani darling... Hii idara unaitumikia kwa uadilifu mkubwa sana...Sky Eclat na wewe!! Tuma angalau salam tu, haigombi ndugu yangu.[emoji12]
Mjomba.
...and that's why I'm trying to do the needful my mtani. Hapa kuna mwanga, japo mpwa wangu anakuwa slow kidogo.
Mjomba tena?
Cc.😡Eli79
Taratibu tu Pat', hekima na busara zao zinawaongoza kuitana 'mjomba'. Baadae tutaalikwa tu usijali.Mjomba tena?
Cc.😡Eli79
Hiyo certificate utanipa wewe tu mtani wangu. Kwa wengine wala sitaifurahia.Mtani darling... Hii idara unaitumikia kwa uadilifu mkubwa sana...
Unastahili "certificate of appreciation"
Alitaka kunishikisha... nikajiongeza kidogo nikampiga chini fastaa.
Daaah umewahi sana kumsabahi jamni...wakati nilikua najiandaa kusema neno kwako mremboMjomba.
Patience123 tumegonga mwamba. Kumbe dada amedondokea kwingine.
Mpwa me nikikuona tu nakumbuka lile pishi lako la ndizi tehMimi bado sijatajwa na mzee mwenzangu mpaka dakika hii.....
Sijui nini kinaendelea huko nyuma ya pazia.....!!??[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Mpwa me nikikuona tu nakumbuka lile pishi lako la ndizi teh
Haha Acha kabisaaHahahaaaaaaa......ulivyo mroho mpaka leo unalikumbuka.....!!!!!
Haha Acha kabisaa
Ntashukuru sana mpya. Sio sanaaa and nimezoea ndizi zetu za unyakyusani zaidiBasi nikipikaga ndizi nitakuwa nakupa mwaliko......
Unapenda sana ndizi....!!??