Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mchakamchaka2 [emoji3] [emoji3] [emoji3]Nitaje hata mimi japo nioshe nyota...
Moyo umeshtuka [emoji7] [emoji7] [emoji7]Mchakamchaka2 [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kwa nini?[emoji3] [emoji3]Moyo umeshtuka [emoji7] [emoji7] [emoji7]
Kutajwa nawe tena usku huuKwa nini?[emoji3] [emoji3]
Alaf kama wewe ni mwanaume hujatajwa usinyemelee himaya yangu hii ishieni uko uko.Nafuga na dog kabisa lakumuescot exceptional lady wanguHahah mi Ta-kibombo
Sio kwamba haupati notification bali haujatajwa maana nimerudia uzi wote hakuna ulipotajwahakuna aliyenitaja nitoe like? Sipati notification
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hujanitaja mimi na kule kwa mwanamke nilikutaja kwanini? Niende nikatengue kauli kuwa sikumaanisha kuwa ni valentina wewe?
mimi hapa nilienda kutengua kauliEbu tuweni wa kweli, hivi mpaka sasa hivi hakuna ME aliyekwenda kwenye ule uzi pacha kutengua kauli?...yaani kudelete post aliyomkubali KE baada ya mambo humu kuwa ndivyo sivyo?....Mimi ni muumini wa sera za ki Jechalism.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huu mchezo hauitaji hasiraKuanzia leo nisione mdada Anani-like humu Jf yaani hata siamini....hakuna hata aliyekosea?
Hata mimi notification sikupata nikajikita kusoma herufi kwa herufi jaribu mbinu hiyo kwani mimi imenisaidia.hakuna aliyenitaja nitoe like? Sipati notification
Duh! yaani kumbe kuna waangalizi wa uzi humu kama wale waangalizi wa uchaguzi?Sio kwamba haupati notification bali haujatajwa maana nimerudia uzi wote hakuna ulipotajwa