KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Ntashukuru sana mpya. Yeah nimezoea ndizi zetu za unyakyusani lakini
Haha basi nimeacha, nisijekosa pishi la mpwaAcha mashariti sasa ndizi ni ndizi tu....
Haha basi nimeacha, nisijekosa pishi la mpwa
Haha inawezekana kabisa, maana lile pishi kwa picha tu linakutoa udendaUnaweza ukakimbia na safuria....
Ushindwe tena mpwa!! Ushindwe tunatenganisha undugu...Unaweza ukakimbia na safuria....
Haha inawezekana kabisa, maana lile pishi kwa picha tu linakutoa udenda
Haha Ila brod darling ni mpanaaaa, naona yamekushinda kwa Sky. Mpwa yeye huwa ni kibao cha direction tu tehUshindwe tena mpwa!! Ushindwe tunatenganisha undugu...
Acha tyuuuNadhani siku ile kioo chako cha simu kilijaa mate...kwa uroho...
Ushindwe tena mpwa!! Ushindwe tunatenganisha undugu...
Hahahaaaaa, kibao cha direction. Lakini si umempenda kwa pishi lake...teh!!Haha Ila brod darling ni mpanaaaa, naona yamekushinda kwa Sky. Mpwa yeye huwa ni kibao cha direction tu teh
hakuna aliyenitaja nitoe like? Sipati notification
Hahahaaaaa, kibao cha direction. Lakini si umempenda kwa pishi lake...teh!!
Duh...haina shida!Vuta subira ndugu....pengine wa ubani wako bado hajaamka....!!
Hata mie hakuna,au ID na avatar ndo tatizo?hakuna aliyenitaja nitoe like? Sipati notification
Duh...haina shida!
Teh huyu ni mpwa wangu wa damu bana, ila pishi nililielewa. Kwa upikaji wa mpwa, mkewe lazima ajipange sana, akiboronga pishi talaka itamuhusu mbonaHahahaaaaa, kibao cha direction. Lakini si umempenda kwa pishi lake...teh!!
Hata mie hakuna,au ID na avatar ndo tatizo?
Nitaje hata mimi japo nioshe nyota...Mi naogopa nisije taja Mme wa mtu buree
Teh huyu ni mpwa wangu wa damu bana, ila pishi nililielewa. Kwa upikaji wa mpwa, mkewe lazima ajipange sana, akiboronga pishi talaka itamuhusu mbona