Hakuna anaeweza kukuibia mpenzi.Hapana, hapa either mimi naibiwa au nimeiba.
Hakuna anaeweza kukuibia mpenzi.
Jiamini.
Upo ndioNipo hapa[emoji23] [emoji23]
Brother naona mpaka sasa 0:0[emoji23] [emoji23] [emoji23]Upo ndio
Hahahahahaha
[emoji40] [emoji40] [emoji40]Acha basi utaharibu bwana shemeji.
Nipo jamani.
We ndo umeadimika.
Mambo vipi?
Tupo bomba wangu.Safi kabisa, aise kitambo sana. Hamjambo nyote?
Waasalam;
jana ilikuwa zamu yetu/me kufunguka. Uzi ulinoga kinoma. Leo ni zamu ya wanawake kufunua mioyo yao kuwataja wawavutiao . Sijui ile fomular ya "if you do me I do you" itachukua nafasi! !!( najiuliza tu).
Uzi ungenoga kama angeanzisha mdada ila sioni dalili. OK hakijaharibika kitu . .kazi kwenu kidada funguka unaevutiwa nae....
Shame on me yaani hakuna ke
anayevutiwa na Mimi ? Ohooo god I think I need a very serious decision
Mtaje huyo baby wako kabla sijaandamanaNitataja wengi mnooooo,hadi nitajisikia vibaya kama nikiwasahau wengine.
Itoshe tu kusema nawapenda wakaka/baba wote wa JF.
Nina marafiki humu,kaka and of course my baby nae ni JF member[emoji131][emoji132]
Huhuhuuu [emoji126][emoji126][emoji126]
Tupo bomba wangu.
Ah, pirika tu. Kila mmoja speed.
Hajambo hb?
Kwani hujaona nimekutaja?Mwe! Mpaka mida hii hola
Wallah hakunaga.Hajambo kabisa. Mnatunyima nini huko?
Wallah hakunaga.
Leo kweupeee huku na mh. JPM.