Mwendelezo: Funguka mwanaume unaevutiwa nae JF

Mwendelezo: Funguka mwanaume unaevutiwa nae JF

Shame on me yaani hakuna me anayevutiwa na Mimi ? Ohooo god I think I need a very serious decision
 
Waasalam;

jana ilikuwa zamu yetu/me kufunguka. Uzi ulinoga kinoma. Leo ni zamu ya wanawake kufunua mioyo yao kuwataja wawavutiao . Sijui ile fomular ya "if you do me I do you" itachukua nafasi! !!( najiuliza tu).

Uzi ungenoga kama angeanzisha mdada ila sioni dalili. OK hakijaharibika kitu . .kazi kwenu kidada funguka unaevutiwa nae....


Shame on me yaani hakuna ke
anayevutiwa na Mimi ? Ohooo god I think I need a very serious decision
 
Nitataja wengi mnooooo,hadi nitajisikia vibaya kama nikiwasahau wengine.
Itoshe tu kusema nawapenda wakaka/baba wote wa JF.
Nina marafiki humu,kaka and of course my baby nae ni JF member[emoji131][emoji132]
Huhuhuuu [emoji126][emoji126][emoji126]
Mtaje huyo baby wako kabla sijaandamana
 
Back
Top Bottom