Utanipa kichwa ujue...[emoji23][emoji23]
hahahahh wala mm nimeuliza tu unampendaje mtu humjui siku ya siku mnakutana kumbe baba ako he heEbu huko kisa umeona tunamingoana hapo juu au [emoji5]
basi nakupenda ufurahi [emoji23]Labda kama haujui mwandiko wa baba yako wewe....
hahahahh basi kama hutaki mm nampenda Bonny nae sijui atakataa kama wwSidanganyiki : yaani unanipenda ili nifurahi [emoji13]
Ebu huko kisa umeona tunamingoana hapo juu au [emoji5]
kumbe haujakataa ulikua unatingisha kiberiti [emoji23] na mm sitaki nampenda Bonny tuIla wewe unamichepuko unafikiri nimekataa....
hahahahh wala mm nimeuliza tu unampendaje mtu humjui siku ya siku mnakutana kumbe baba ako he he
B huyu chalii anawivu wa miaka ya shetani aseeh
sitaki mitala mm labda nisijueUzuri wa mme muwe wanne wasema watu wa kwenu hapo chumbageni