Iceman 3D
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 20,611
- 67,094
Unawezahivi unaweza vutiwa na mtu ambae hujui ata anafananaje
Ila it is the worst experience kama uli set the bar very high, unaweza kutana na dissapointment, ila kama uli mfikiria wa kawaida tu ukimkuta wa ajab ajab hata haita kushangaza.
Ila dont try this at home [emoji23]