Mwendelezo: Funguka mwanaume unaevutiwa nae JF

Mwendelezo: Funguka mwanaume unaevutiwa nae JF

Duniani kuna maajabu, nafikiri hilo nalo lashika nafasi ya nane ya maajabu duniani
hahahhah shang'aa na ww dear maajabu humu hayaishi watu wanavutiwa na avatar fake na uhandishi wa mtu teh teh
 
Ha haa unavutiwa tu shualina...

Unaanza maandishi yake na ukifanikiwa kumuona basi utaenjoy mwenyewe. Kuna watu wanavutia humu wacha kabisa
Vale mm mpk nikuone kwanza ndio nitavutiwa [emoji23]
 
nimesoma uz had mwisho hakuna mlimbwende aliyevutiwa na mm hatar sana(kwa saut ya sheikh kipozeo)
 
inabidi tuzoeane kwanza ujue [emoji23] yaan tuzoeaneee tu halaf tutumiane picha [emoji85] ndio tuonane
Hivi kale kapicha kangu nilikokurushia pm kwa hiyo ndiyo umekaa nako hutaki niambia tuonane wapi
 
Back
Top Bottom