Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mke mwenza.Eti umesema!!
HahahaYa hapa duniani sina neno nayo
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]![]()
Hivi umesahau mchana ulivyonisindikiza ATM! au unataka bailojia ya kina espy inandame mim.. haya tu wewe
Unaenda wapi tenaa jamaniUsijar bado wiki tu
Nawa aga wakati ni ukuta mara ingine wapendwa wote
hahah shangazi acha tu huku nilipo umemeMiss you too. Ndio unaachiwa!!!
Huyo mimi simpendi, nampenda naniliu!!Mke mwenza.
aste aste basi.
Usiseme kwa mume wetu.
Ukitaka na huyu pia tuta-share.
[emoji8] youuu!!!
sakayo ebu niambie umemuelewaje kaka ako ameanza mangaUsijar bado wiki tu
Nawa aga wakati ni ukuta mara ingine wapendwa wote
nilikuwa sipatikaniki dadaMie zaidi jamani honey, kidogo nikupigie ujue
asante dadaPole mwaya
me nampenda lee tu nishamtajaKiaina tu ongea taratibu wasikusikie
Huhuhuuuuuu!!!Rich pol [emoji23]
Aiseeeenilikuwa sipatikaniki dada
Kasema atawaaga baada ya wikisakayo ebu niambie umemuelewaje kaka ako ameanza manga
Nani tena huyoooHuyo mimi simpendi, nampenda naniliu!!
shangazi ungeanzia mwanzo nakumbuka kuna kitu aliongea rich kuwa hajatajwa sijui kitu kama hikoHuhuhuuuuuu!!!
HahahaNisaidie kumtuliza wifi yako... ana wivu hata nikizima data anajua nimemblock