Maskini poleMi ni mgeni humu JF ila kutokutajwa ni ubomoaji mkubwa wa karakana ya moyo wangu..ukizingatia leo weekend... Anyway ngoja nijipooze na Grant's or Value...!!!
jerrysonkiriaBora UKUTA ungekuwepo ningeenda kuandamana nipgwe mabomu na polisi nife kuliko kutotajwa mpaka sasa,inaaaauma kinoma 🙁
[emoji1] [emoji1] it will never happen palHahaha. You are to be overthrown soon
[emoji1] [emoji1]Sie wenye damu yakunguni hatuwazi kabisa kama tutatajwa.labda ngoja tusubr
Uchawi unalipa.[emoji122] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji7] [emoji76] [emoji76] [emoji76] View attachment 392962View attachment 392963
[emoji15] [emoji1] [emoji1] ni mapenziiiii....ni mahabaaa. .... (sio kisa pombe(juju))Uchawi unalipa.
Ahsante sana [emoji8][emoji25] [emoji25] maskini pole
Ningekuwa single tungeweza kuongea lakini nimeshawahiwaAhsante sana [emoji8]
Hahahaa JF burudani sanaKuna jamaa wanatumia ID zao za KE kutaja ID zao za ME[emoji125] [emoji125] [emoji125]
S ndo apo kila nnae mfikiria kisha wahiwa ngoja nisubiri wangu IPO Sikh atajitokeza..[emoji3] [emoji3] [emoji3]Ningekuwa single tungeweza kuongea lakini nimeshawahiwa
Ha ha ha ha... Tunasemaga "imekula kwako" atoto kamtaja mwingineee...Duh hadi mimi C.E.O wa haka kamchezo sitajwi 🙁
Ha ha sijui hataVp wewe ushaona
Hahaha...Eeeh [emoji15][emoji15][emoji15]
Huu ni uchochezi[emoji109] [emoji109]Ha ha ha ha... Tunasemaga "imekula kwako" atoto kamtaja mwingineee...
Uliyemzimia jana, naye aliku reply "I love you too"
Lakini leo kathibitisha kuwa "alikuwa anakusuuza moyo kwa muda"
Huu mchezo hautaki hasira.
Mimi bado nipo nipo kwanza....
Hahaha...
Sisi ikitokea tunaitaga "mke mwenza"...
Sasa sijui huyo mtajwa wewe unamuitaje...
Love u tooNitataja wengi mnooooo,hadi nitajisikia vibaya kama nikiwasahau wengine.
Itoshe tu kusema nawapenda wakaka/baba wote wa JF.
Nina marafiki humu,kaka and of course my baby nae ni JF member[emoji131][emoji132]
Huhuhuuu [emoji126][emoji126][emoji126]