Mwendelezo: Funguka mwanaume unaevutiwa nae JF

Mwendelezo: Funguka mwanaume unaevutiwa nae JF

Tatizo lenu ndo hilo ss tulio wahiwa miaka mingi inakuwaje bas mtutaje tuuuuuuu tutafurahi manakuwapata hatuwapati hata mtutaje tuuuuu
 
Ha ha ha ha... Tunasemaga "imekula kwako" atoto kamtaja mwingineee...

Uliyemzimia jana, naye aliku reply "I love you too"
Lakini leo kathibitisha kuwa "alikuwa anakusuuza moyo kwa muda"

Huu mchezo hautaki hasira.

Mimi bado nipo nipo kwanza....
Huu ni uchochezi[emoji109] [emoji109]
 
Nitataja wengi mnooooo,hadi nitajisikia vibaya kama nikiwasahau wengine.
Itoshe tu kusema nawapenda wakaka/baba wote wa JF.
Nina marafiki humu,kaka and of course my baby nae ni JF member[emoji131][emoji132]
Huhuhuuu [emoji126][emoji126][emoji126]
Love u too
 
Wote wameshawapata watu waliowataja??? Au kuna aliyebaki anitaje na mimi...please [emoji7][emoji7][emoji7]
 
Back
Top Bottom