sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 19,955
- 45,207
Mmmmmmmmmmhhhh......Ngoja niangaze macho..
Sasa ngoja niseme namimi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmmmmmmmmhhhh......Ngoja niangaze macho..
We taja tu, kwani unamjua?Mi naogopa nisije taja Mme wa mtu buree
Huna ID nyingine uitumie kumtaja?Mi naogopa nisije taja Mme wa mtu buree
Nipo hapa[emoji23] [emoji23]Ngoja niangaze macho..
Sina ndugu Jana nimetaja nikafatwa mmhh!!! Sasa Leo sijui nimtaje nani.Huna ID nyingine uitumie kumtaja?
Si umeona hapo wenzio tumetajwa na watu kwa kutumia ID zingine [emoji3]
asa jamani hata kuandika peterchoka tu huweziSina ndugu Jana nimetaja nikafatwa mmhh!!! Sasa Leo sijui nimtaje nani.
[emoji4] [emoji4] [emoji3] [emoji3] [emoji3]asa jamani hata kuandika peterchoka tu huwezi
Mpk hapo ushanivutia [emoji8][emoji8]asa jamani hata kuandika peterchoka tu huwezi
Baby mbona unafukunyua usivyotakiwa kuviona? It was a typing error tu, you know how much i love you right?Eeeh [emoji15][emoji15][emoji15]
Baby mbona unafukunyua usivyotakiwa kuviona? It was a typing error tu, you know how much i love you right?
kumbe na ww umeelewa hilo?Huu ni mtongozano wa indirect
haaaa! haaa! huwaga sikosei MkuuAsante mpenz yani hujakosea kuvutiwa na mm! Yani unajua kuchagua ww daah!