Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatajwiiiiiMtaje huyo baby wako kabla sijaandamana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatajwiiiiiMtaje huyo baby wako kabla sijaandamana
Hahahaah bado hawajaja.....bwana. subiri tuuu. Au watimbie pm uwakumbusheBrother naona mpaka sasa 0:0[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimtaje, nisitajeeeeee???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatajwiiiii
Ngoja tusubiri...ikibidi tutawafuata PM[emoji23] [emoji23]Hahahaah bado hawajaja.....bwana. subiri tuuu. Au watimbie pm uwakumbushe
Hahahhahahwwhwh.......Ngoja tusubiri...ikibidi tutawafuata PM[emoji23] [emoji23]
Ndio maana JF is the Best , maana kumejaa watu veree smart..!kumbe na ww umeelewa hilo?
umeona ee!?Ndio maana JF is the Best , maana kumejaa watu veree smart..!
[emoji5] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Asante Sumbai [emoji122][emoji122]
Honey, this time nimeamua kuweka private mahusiano yangu.
Sitaki drama kabisaaaa.
N`taje mimi ka vp,nitoe gundiSina ndugu Jana nimetaja nikafatwa mmhh!!! Sasa Leo sijui nimtaje nani.
HahahahahaMwe! Mpaka mida hii hola
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahhahahwwhwh.......
Au tengeneza account fake bwana
Ufanye mambo.....
Maana.....mmmh
Uuuh nimetenguka kiuno kwa presha khaaaRogie daaah my heart is going off
Naona umeamua kuzuga hapa hahah
Sanaaaa[emoji5] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
kweli upo sirias...
Karibu sana.Sawa, naja hivi karibuni.
Karibu sana.
Usiache kunistua. Kiss hb
Acha hizo buana,kuwa muwazi mbona mimi nimekuwa wazi kuwa nampenda shemale wangu wa nguvu Evelyn Salt??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatajwiiiii