Mwendelezo: Funguka mwanaume unaevutiwa nae JF

Mwendelezo: Funguka mwanaume unaevutiwa nae JF

Bora UKUTA ungekuwepo ningeenda kuandamana nipgwe mabomu na polisi nife kuliko kutotajwa mpaka sasa,inaaaauma kinoma 🙁
 
Ukiona hujatajwa jua NYETO inakuhusu...!!

asking my self...
sijui na mimi sitatajwa..? maana mpaka sasa 0.0 ngoja nisubiri huenda sisimizi akavunja ukuta🙁🙁🙁
 
Inamaaana juhudi zote za kupost point hakuna anayenipenda? Jamani acheni utani basi,
 
Mshana jr
[emoji120] [emoji115] [emoji106] wenye wivu
1472917346848.jpg
[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Back
Top Bottom