Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo huyo brother hujakosea.Hata mimi nahisi hivyo maana niliona id Fulani ila avatar kama ya nahrene
Bora ujihami mapemaasie wenye id zaid ya tano haituhusu kwa kuwa ...... sie tuko kwenye siasa zaid ya mababy ...maaana ni mchezo wa kamari huuu ukipata unapata sana na ukipatwa utapatwa sana
Hatari sana....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Emmyguy tupa kulee au
[emoji4] [emoji85] WEWEEE...USISEME HIVO[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Emmyguy tupa kulee au
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji106]Mkuu nawe umebadili id
Hapa ndo mtihani umpendaye hakupendHahaha hamu itoke wapi wakati wa kukutaja amejificha
Mimi sijamuona kitambo sana.Huyo Huyo aisee. Sijamuona muda mrefu rafiki yangu yule
Halafu ID yenyewe inaanza na herufi SNdiyo huyo brother hujakosea.
Bado wewe tu.[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu nawe umebadili id
Mtihani kweli ujueHapa ndo mtihani umpendaye hakupend
Nimekumis sana mkuu.[emoji4] [emoji85] WEWEEE...USISEME HIVO
Hatar kidogoHatari sana....
Hahahaha brother unajua kukariri!!!Halafu ID yenyewe inaanza na herufi S
Haswaa, nimelithibisha...Hapa ndo mtihani umpendaye hakupend
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] hata hivyo inaonekana mpya ile id kwa idadi ya postHahahaha brother unajua kukariri!!!