Manga ML
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 9,805
- 15,529
Huyo ni mzito anaonekana kwa hisia tuAisee
Nani huyooo ako na hiyo jeuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo ni mzito anaonekana kwa hisia tuAisee
Nani huyooo ako na hiyo jeuri
Ulio itaja kama ndo kila kitu kwakoId ipi?
Nikutaje ili nigundue mbadala wa oxygen au!!!!!Wifi yako..... au unitaje basi
Uh!!!Daby Siwezi wataja hapa, kwanza wengine wamewahiwa kabisaa
T wake mieNinong'oneze mimi tu.
AmeeenHuyo ni mzito anaonekana kwa hisia tu
HahahaUh!!!
Ungekuwa na id ya zamani ungeweza kuwepoPale unapolazimisha mtu ataje ukiwa unajua utakwepo kumbe haata
I do like you too bebe.Wako wengi nkifunguka simalizi napenda gentlemen's wotee humu jf kama unajijua ujakaa kitoto ,much know sana we we sio ,,ila kama wise unasifa zote za gentleman ujue ,,I like you
Dada angu mieUngekuwa na id ya zamani ungeweza kuwepo
Nimewamiss jamaanNikutaje ili nigundue mbadala wa oxygen au!!!!!
Sasa wifi namuita yupi? Wengine hata majina sijawashika.
Maskini roho moyo wangu mimiI do like you too bebe.
Kama sipo kwenye list please nitumie pm usinicrush hapa utanipasua moyo
Manga miss u jamaan hivi upogoUlio itaja kama ndo kila kitu kwako
Bamdogo shikamooDini inaruhus kutaja wa4
Ila wewe ...[emoji15]Manga miss u jamaan hivi upogo
Ulikua wapi?Nimewamiss jamaan