Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
ndio naingia mpenzi hamna hapo hata wa kuniteka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndio naingia mpenzi hamna hapo hata wa kuniteka
[emoji23] [emoji23] hivi una noah ngapiiiNitakupa Noah moja shem
Me sijatajwa hata na mtu aisee,sipendwi humu ndani
Daby hawezi niteka mie me natekwa na lee wangu tu
Mie nakupenda sanaMe sijatajwa hata na mtu aisee,sipendwi humu ndani
[emoji3][emoji3]Ila wewe ...[emoji15]
Wifi ni nini hiki!!!
Ndio zake mzoee tu. Anatongoza kutwa mara tatu kama dozi.Zimekaa kimtongozo mtongozo sana [emoji3][emoji3]
Mutuz hajambo?Daby hawezi niteka mie me natekwa na lee wangu tu
hahahha shangazi sitaki ujue hivi kwa nini lakini Baba D njo umsikieMutuz hajambo?