Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hewaala.Unaona mdogo wangu alivyo kifaa eeeee
We mchezee.....nitapokea mahari ingine.
View attachment 527202
Dada usimsikilize huyoAhaaaaa
Haya, kumbe ilikuwa utani.
Mwambie atanipa presha dada ake jamani
Ewaaaa
Ajibu hapooo
Nitakuwa nazo tatuKwani wewe unapewa mbili?
HunieZimekaa kimtongozo mtongozo sana [emoji3][emoji3]
[emoji85] [emoji85] [emoji85]hahhaha ila shangazi wewe ni changamoto aisee
Sema kweli bhanandio naingia mpenzi hamna hapo hata wa kuniteka
Basi mshukuru sana Mungu.Mimi tulikuwa wote nusu saa gafla Kaboom akanipokonya nikamwachia mungu. Yaani Khantwe wewe