Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Kwani haujafunguka?Duuuu
Mmeamua kunigeuzia kibao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani haujafunguka?Duuuu
Mmeamua kunigeuzia kibao
Ila UKIMWI ni wenu wote.Majukumu yamezinizidi sana..
Ila nimemruhusu kuchepuka..! Mwili si wake kwani..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana jamaniiiKwani haujafunguka?
Hata mimi sijui[emoji847]Hahaha hahaha
Nani kanifumania mimi jamani
Umesahau ulishawatag? [emoji23][emoji23]
Wacha bwana!!!Hapana jamaniii
Mecomment tuuu
Embu nikumbushe nisije nikawatag tena..Umesahau ulishawatag? [emoji23][emoji23]
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]Wala hajatugea vitenge vyako auntie
Wameongezeka au ni wapya?!
Angalia daby alikuquote.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wameongezeka au ni wapya?!
Mwanzo ulitaja wawili
Mwaka huu ana list ingineUmesahau ulishawatag? [emoji23][emoji23]
Hahaha hahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eiiish jamani...Angalia daby alikuquote.
Nani na nani hao?Wameongezeka au ni wapya?!
Mwanzo ulitaja wawili
😂😂😂😂😂Eiiish jamani...
Sema Daby nilimtamani mpaka nikakata tamaa... mtu haji PM sijui alitaka nimfate
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulimtaja ngabu na ben!Nani na nani hao?
Sasa hivi hata sina tena.. sioni hata mtu anaeandika akanisisimua tena jamani
Sent using Jamii Forums mobile app