sabosabo
JF-Expert Member
- Dec 16, 2012
- 2,050
- 5,066
Wewe inawezekana upo,hukosekani kulee!We mdaka chozi hukosagi sababu kabisaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe inawezekana upo,hukosekani kulee!We mdaka chozi hukosagi sababu kabisaaa
Hata sijui njia ya kufika hukoo jamaniiiWewe inawezekana upo,hukosekani kulee!
Njia ni ile ile uliyotumia kufika hukuHata sijui njia ya kufika hukoo jamaniii
Sikuiona hiyo habari yake kuhusu Tofali la Mkemia...mbona kuna siku alikua analalamika kwamba mkemia nae kampiga tofali yule ni shida aise haogopi yoyote yule anamtuna
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijaona jiraniMbona mshatajwa kitaaambo sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]chizi weweNjia ni ile ile uliyotumia kufika huku
OhoooSijaona jirani
Kweli jirani..Ohooo
Sema kweli jamanii jirani...
Sikuiona hiyo habari yake kuhusu Tofali la Mkemia...
Waendesha akaunti ya Mkemia huenda walimtolea uvivu aisee..
Ananogesha sana mambo aiseeyule jamaa ni shida nyingine nikiingia tu tweet lazima nimsome ili nione nani kampaka
Sent using Jamii Forums mobile app
Rudi kasome tena jiraniKweli jirani..
Kurudi tena nyuma ni kazi jirani...Rudi kasome tena jirani
OhooooKurudi tena nyuma ni kazi jirani...
Ndioo jiraniOhoooo
Au kama hukumbuki njia najitolea kukushika mkono[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]chizi wewe
Jamiaa sijui anajiamini miniSikuiona hiyo habari yake kuhusu Tofali la Mkemia...
Waendesha akaunti ya Mkemia huenda walimtolea uvivu aisee..
Pole jiraniNdioo jirani