Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Nitaje wewe ili nami nijione nimo
Watakutaja tuu mkuu
Unaweza ukatajwa mkuu
Hahahaha ,au mmoja amtaje mwenzie tu, kwani shilingi ngapi ?Hope nami nitatajwa kwenye list ya mwaka huu maana mpk sasa bila bila,au list ya nini hiyo mkuu?
MTC | 101| [emoji769]