Mwendelezo: Funguka mwanaume unaevutiwa nae JF

Mwendelezo: Funguka mwanaume unaevutiwa nae JF

Unaweza kuona Uzi unachanja mbuga kwa speed ya Kimondo kumbe "Umepatwa" Yaani umeng'ang'aniwa na member wachache hawataki kuuachia.

Jamani kuna watu wanataka kututaja ila wanakosa nafasi mmekaba Uzi.

Sincerely,Bachelor Sugu

Sent by Tecno Camon11 PRO using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom