Mwendelezo vituko IFM Mwanza Campus, TV yawashwa chumba cha mtihani

Enzi hizo nipo mwaka wa mwisho chuoni tukiwa kwenye mtihani kuna mwamba mmoja alidakwa na nondo, cha kushangaza katikati ya mtihani tulipigwa search wanafunzi wote na wale wasimamizi uchwara.

Hawa watu wanao ajiliwa vyuoni sijui wanaokotewa wapi wanatufundisha ethics and professionalism lakin wao hawana hata chembe


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dogo, wekeza nguvu na muda wako mwingi kwenye nasomo.
Ukiendelea na hii tabia yako ya usnitch; utaishia tu kupata sup, ku carry, au hata ku disco!
 
Dogo, wekeza nguvu na muda wako mwingi kwenye nasomo.
Ukiendelea na hii tabia yako ya usnitch; utaishia tu kupata sup, ku carry, au hata ku disco!
Unasoma, unafanya mtihani halafu anatokea mwendawazimu anakuja kwenye chumba Cha mtihan na kuwasha mechi na kui project ukutani huku mitihani unaendelea. Bado we unaona Hilo no sawa!!!
 
Wewe ndio una shida mkuu, unashindwa kuchata namna gani jambo linatakiwa kufanyika kwa usahihi na kwa wakati upi katika kazingira yapi.
Usikute huyu ndio Mr Swai mwenyewe anajaribu kujitetea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…