Vip kobaz iran amesharusha lile kombora la icbm kwenda marekani kama ulivyotuhabarisha kupitia ile thread yako uliyoiweka hapa ukiwa unakula pilau la hitma?Alimbaka shoga mwenzako Shetanyahu ndio sababu angebaka mwafrica wangemuacha
Alibaka wapi? Tuhumu yale ilikua KUMSHIKA SHIKA msaidizi wake bila idhini na wala sio kumuingilia au kumshika sehemu za siri hilo moja.Jumla ya nchi 82 kati ya 125 wanachama wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) zilipiga kura muda mfupi uliopita kuunga mkono kuondolewa kwa Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Ubakaji, Karim Khan, ambaye alitoa hati za kimataifa za kukamatwa dhidi ya Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu na Waziri wa zamani wa Ulinzi Yoav Gallant.
Endeleeni kutetea wabakaji tu maana kwenu hiyo ni kawaida tuliona hata Oct 07,2023 mliwashabikia sana wabakaji wa kipalestina tena bila aibu!!Alibaka wapi? Tuhumu yale ilikua KUMSHIKA SHIKA msaidizi wake bila idhini na wala sio kumuingilia au kumshika sehemu za siri hilo moja.
La pili mahakama kupitia jopo la majaji huko Hagues ilikosa ushahidi kuwa aliwahi fanya hivyo vitendo. So kisheria alikutwa hana hatia
Kuondolewa na wanachama ni sababu ya maelekezo ya US na pressure kuwa ataifuta ICC. Kumbuka Khan amewekewa vikwazo na marekani sio sababu ya ubakaji ila sababu alimshataki Netanyahu. Na hiyo sheria iliyomtia hatiani inaitwa Illegitimate Court act 2023 ambapo inaelekeza kumuwekea vikwazo mfanyakazi wa ICC anayeshiriki kumfungulia mashtaka Mmarekani au Myahudi!!
So muwe mnasoma mambo kabla ya kupotosha.
Alibaka wapi? Tuhumu yale ilikua KUMSHIKA SHIKA msaidizi wake bila idhini na wala sio kumuingilia au kumshika sehemu za siri hilo moja.
La pili mahakama kupitia jopo la majaji huko Hagues ilikosa ushahidi kuwa aliwahi fanya hivyo vitendo. So kisheria alikutwa hana hatia
Kuondolewa na wanachama ni sababu ya maelekezo ya US na pressure kuwa ataifuta ICC. Kumbuka Khan amewekewa vikwazo na marekani sio sababu ya ubakaji ila sababu alimshataki Netanyahu. Na hiyo sheria iliyomtia hatiani inaitwa Illegitimate Court act 2023 ambapo inaelekeza kumuwekea vikwazo mfanyakazi wa ICC anayeshiriki kumfungulia mashtaka Mmarekani au Myahudi!!
So muwe mnasoma mambo kabla ya kupotosha.
Kwamba hujui ICC ilitoa request ya arrest warrant kwa Yahya Sinwar, Mohammed Deif na viongozi wengine kama 10 wa Hamas.Endeleeni kutetea wabakaji tu maana kwenu hiyo ni kawaida tuliona hata Oct 07,2023 mliwashabikia sana wabakaji wa kipalestina tena bila aibu!!
Hahaha pole sana, ukweli huwa unauma.Huna akili
Rudi kasome vizuri nilicho kiandika ndio utapata akili nilisema time itaongea sababu USA ndiye anaye sababisha vile akiona karibu Iran itaingia kwenye full war anatuma nchi zikambembeleze Iran yaishe na Iran wanamcheka tu mara Trump sitaki kuongea tena na Iran mara anarudi kubembeleza unajua Iran sa ivi anawadhalilisha USA we endelea kula ugali kwa kutumia kitoweo kwenye karatasi Iran hawezi kutumia ICBM kama unavyo taka wewe anaipigana vita kwa strategy wapi atumie na time ipi ki ujumla USA hana jipya plan zake zote zimefail na shoga yenu Israel anaogopa kupigana na iran kaishia vitisho tu. Kumbuka kipigo cha Iran kule Jordan kimemaliza mjadala na Israel anajua wazi kuanguka kwa Jordan ndio 1st step ya kuondolewa yeye pale Middle East we endelea kuota kama USA atamshinda vita IranVip kobaz iran amesharusha lile kombora la icbm kwenda marekani kama ulivyotuhabarisha kupitia ile thread yako uliyoiweka hapa ukiwa unakula pilau la hitma?
Niwekee hizo video tuone waarabu wakitoa tigo kwa wanaume wa IDF!!Kwamba hujui ICC ilitoa request ya arrest warrant kwa Yahya Sinwar, Mohammed Deif na viongozi wengine kama 10 wa Hamas.
Kuhusu ubakaji zipo video kabisa za askari wa Israel wakilawiti wafungwa wa Palestine. Na sijawahi ona hata wewe ukikemea ushoga ule.
Tunapopinga ugaid tuwe tayari kupinga wote bila kujali ni Hamas au Israel wamefanya.