Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa... Ila kwao mambo ni moto zaidi... Huku kwetu wengi tunakaushia....vibao tu.Pia hapa kwetu ni kosa kisheria. Kwa sababu tunaona kama kasifa fulani hivi kwa aliye attacker.
Ila kweli, wazungu so soft sanaIla wenzetu bwana. Yani kuandikwa na gazeti eti umepigana basi unakosa amani unapewa washauri nasaha na haitoshi hadi unatoa uhai.
Waje kwa Wema ambaye licha ya kuandikwa kila uchwao kwa mabaya, alipigana hadi akavunja kioo cha gari, akatoa mimba, ana mdudu, hazai, hajaolewa, hana kazi maalum ya kumuingizia kipato, hana mpenzi, amekuwa na kesi ya madawa ya kulevya mahakamani na bado anadunda tu kudadeki. Huyu angekuwa yeye si angejiua, ajiue tena na tena na tena. Yani kumpa kijana discipline kwa makonzi mawili matatu unaandikwa hadi unajiua! Kudadeki!
Mwenye nia ya kujiua, hata ukienda msalani tu, atatimiza nia yake!!Lakini kosa alilofanya alitoka nje kwenda dukani kurudi hakakuta ameshajiua!
Pia boyfriend wake aliyeshtaki polisi.
Mkuu! Ubarikiwe sana kwa kunifanya nicheke asubuhi ya leo!!Wkt huko Bongo yule shilole alikua anamtandika mangumi Nuhu Mziwanda mpk dogo anakimbilia barabarani na malapa yake,uchebe kala sana makofi ya Shilole na kinaonekana ni kitendo cha kishujaa mwanamke akifanya hivyo.
Mkuu, unazijua stress? Ondoa neno unene kwenye stress, utajikuta kutoka braza k mpaka wabogojo aisee.Stress ina madhara makubwa sana. Inachangia magonjwa kama Magonjwa ya moyo. Blood pressure, Unene, dementia, kupoteza nguvu za kiume na kadhalika.
Mkuu, Sio mimi, kuna research nyingi wame link stress na obesity. Wanasema mtu anapokuwa stress anajifariji na chakula hasa chenye high calories. Hasa kwenye nchi za wenzetu ambapo vyakula ni bei rahisi nani convenient.Mkuu, unazijua stress? Ondoa neno unene kwenye stress, utajikuta kutoka braza k mpaka wabogojo aisee.
Mkuu! Ubarikiwe sana kwa kunifanya nicheke asubuhi ya leo!!
Ila wenzetu bwana. Yani kuandikwa na gazeti eti umepigana basi unakosa amani unapewa washauri nasaha na haitoshi hadi unatoa uhai.