Mwendo kasi sasa kila kona Dar

Emc2

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Posts
16,808
Reaction score
16,887
Wakenya mpo? Wakati nyie mnaandika ONLY BRT sisi tunajenga.

UJENZI wa miundombinu ya Mabasi Yaendayo Haraka Dar es Salaam (DART) maarufu mwendo kasi kwenda Mbagala na Gongo la Mboto, jijini Dar es Salaam, umepangwa kuanza mwaka huu.

Aidha, usanifu wa ujenzi wa miundombinu ya Dart, utakaohusisha barabara za Sam Nujoma, Bagamoyo, Bibi Titi na Ali Hassan Mwinyi zenye urefu wa kilometa 25.9, pia unaanza mwaka huu wa fedha. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Selemani Jafo alisema hayo jana wakati akiwasilisha bungeni mapitio, makadirio ya mapato na matumizi ya fedha za ofisi yake kwa mwaka wa fedha 2018/19.

Jafo katika kuzungumzia malengo ya taasisi zilizo chini ya ofisi yake kwa mwaka wa fedha 2018/19 ikiwemo DART, alisema ujenzi huo utakwenda pamoja na utekelezaji mpango kazi wa fidia ya makazi kwa waathirika wa mradi wa awamu ya pili na tatu na kulipa fidia kwa ajili ya mradi wa awamu zote. Alisema ujenzi wa miundombinu hiyo ya Mbagala na Gongo la Mboto, umepangwa kuanza Desemba mwaka huu chini ya awamu ya pili na tatu. Ujenzi awamu ya pili (Mbagala) utahusisha barabara za Kilwa, Kawawa, Sokoine, Gerezani, Bandari na Chang’ombe zenye urefu wa kilometa 20.3 na ujenzi utaanza baada ya kumpata mkandaras
Soma zaidi hapa:

Mwendo kasi sasa kila kona Dar
 


Why You will never see Kenyans on the Tanzania section or even bother reading your news..... but you Bongolalas... Kukesha tu kenya section and refreshing Kenya news on google after every 5 minutes
 
Uzinduzi kila uchao zero to show action wise.
 
Huu mjadala wa haya madubwasha ya takwimu ulishajadiliwa sn bila kupata majibu. Achana na takwimu za kuchora nenda kwenye uhalisia. Uduni wa wa kimaisha KE hauelezeki. TZ is heaven compared to u
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…