Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 15,416
- 22,334
We subili itaisha kwa pamoja mara paaa !! Wakenya mnabaki kushangaa tz ilivyo chomoka kimaendeleo na miundo mbinu makiniUzinduzi kila uchao zero to show action wise.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We subili itaisha kwa pamoja mara paaa !! Wakenya mnabaki kushangaa tz ilivyo chomoka kimaendeleo na miundo mbinu makiniUzinduzi kila uchao zero to show action wise.
Unataka nini mwana mama? huko kwenu ndio mnaongozwa na marais wawili? ShitholeView attachment 742557 View attachment 742555 View attachment 742556
You OWN poverty... STUPID TANZANIAN SCUM
Wewe wafanya nini hapaView attachment 742541
Why You will never see Kenyans on the Tanzania section or even bother reading your news..... but you Bongolalas... Kukesha tu kenya section and refreshing Kenya news on google after every 5 minutes
Day ***** sijui wameangalia mini mpk kuziita hizo nchi in NCHI KUMI MASIKINI DUNIANIView attachment 742557 View attachment 742555 View attachment 742556
You OWN poverty... STUPID TANZANIAN SCUM
Good move for DsmWakenya mpo? Wakati nyie mnaandika ONLY BRT sisi tunajenga.
UJENZI wa miundombinu ya Mabasi Yaendayo Haraka Dar es Salaam (DART) maarufu mwendo kasi kwenda Mbagala na Gongo la Mboto, jijini Dar es Salaam, umepangwa kuanza mwaka huu.
Aidha, usanifu wa ujenzi wa miundombinu ya Dart, utakaohusisha barabara za Sam Nujoma, Bagamoyo, Bibi Titi na Ali Hassan Mwinyi zenye urefu wa kilometa 25.9, pia unaanza mwaka huu wa fedha. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Selemani Jafo alisema hayo jana wakati akiwasilisha bungeni mapitio, makadirio ya mapato na matumizi ya fedha za ofisi yake kwa mwaka wa fedha 2018/19.
Jafo katika kuzungumzia malengo ya taasisi zilizo chini ya ofisi yake kwa mwaka wa fedha 2018/19 ikiwemo DART, alisema ujenzi huo utakwenda pamoja na utekelezaji mpango kazi wa fidia ya makazi kwa waathirika wa mradi wa awamu ya pili na tatu na kulipa fidia kwa ajili ya mradi wa awamu zote. Alisema ujenzi wa miundombinu hiyo ya Mbagala na Gongo la Mboto, umepangwa kuanza Desemba mwaka huu chini ya awamu ya pili na tatu. Ujenzi awamu ya pili (Mbagala) utahusisha barabara za Kilwa, Kawawa, Sokoine, Gerezani, Bandari na Chang’ombe zenye urefu wa kilometa 20.3 na ujenzi utaanza baada ya kumpata mkandaras
Soma zaidi hapa:
Mwendo kasi sasa kila kona Dar
Kitu nachoshangaa unatumia 255 code ya Tz lakini umeinvest nguvu kubwa kuiponda, kwanini usichange to 254 tujue moja!..Wanafiki kama nyie mnastahili bunduki!.
Mi mwenyewe nashangaa!! Ndo maana huwa siyaamini sana haya matakwimuDay ***** sijui wameangalia mini mpk kuziita hizo nchi in NCHI KUMI MASIKINI DUNIANI
Yaan hakuna BURUNDI,MALAWI NK BUT **** TZ NA ETHIOPIA?
We jamaa kuwa serious
Watu kama hawa ni wa kuachana nao huenda stress za familia zinamsumbua. Inashangaza sana mada tunayoongelea ni kuhusu ujenzi wa BRT yeye analeta hadithi nyingine kabisa.Kitu nachoshangaa unatumia 255 code ya Tz lakini umeinvest nguvu kubwa kuiponda, kwanini usichange to 254 tujue moja!..Wanafiki kama nyie mnastahili bunduki!.
Mungiki haki yako kutoa povuView attachment 742557 View attachment 742555 View attachment 742556
You OWN poverty... STUPID TANZANIAN SCUM
wakenya wanahaha maana ukweli wanaufahamu, tupo mbele yao kwa vyote isipokuwa uchumi tu wametuacha kidogo na kuna sababu tangu uhuru uchumi wa TANZANIA ulikuwa umedumaa kutokana na kutumia rasilimali zake nyingi (pesa, rasilimali watu na hata ardhi yake) kuhakikisha ndugu zetu wote wanakuwa huru, TANZANIA tumepambana mpaka na ISRAEL kuhusu uonevu wao dhidi ya wapalestina, MOROKO ukandamizaji wao dhidi ya SAHARA YA MAGHARIBI, NIGERIA, dhidi ya wanyonge wa jimbo la BIAFRA, Bila kusahau ukombozi wa kusini mwa bara la afrika, kusini mwa TANZANIA, NA KATI kuligeuka kuwa makazi na uwanja wa wapigania uhuru wa afrika na dunia nzima, kumbuka OAU LIBERATION COMMITTEE ilikuwa Dar es Salaam na TANZANIA kama msimamizi na mfadhili wake mkuu, ukombozi wa uganda dhidi ya nduli Idi amini, vita dhidi ya mabeberu nakadhalika. WAKATI HUO WOTE WAKENYA WALIKUWA WANAJIKOMBA KWA WAZUNGU NA KUSALITI JUHUDI ZA KULETA UKOMBOZI WA KWELI KWA MWAFRIKA HAPA NDIO TULIPOTOFAUTIANA NA KENYA PAMOJA NA HAYO YOTE WATANZANIA TUPO VIZURI, KAZI TULIYONAYO NI KUONGEZA PATO LETU LA TAIFA NA KAZI IMEANZA, HAKIKA MUDA SI MWINGI TUTAKUWA THE AFRICAN LEADING ECONOMY WALA HALINA UBISHI!Tanzania ya neema inakuja
Network ikikamilika yatasaidia sana kero na uchelewaji fulani utapungua maanake msafiri unaweza kuunganisha na kufika utakako bila kusubiri route fulani tu.Japo bado kuna changamoto nyingi, lakini tuwe wakweli haya mabari yamesaidia sana. Sijajua kwa upande wa kibiashara ufanisi ukoje.
Naongelea huduma kwa jamii, yanasaidia sana.
hahahahahahahaha The trash of a country called Tanzania owning Kenya hahahahahahaha wacha banghi...
JiweBecause we own you. Is it wrong for a man to look after his own dog?
Action ipi mkuu ambayo huioniUzinduzi kila uchao zero to show action wise.
Mungiki ndio watu gani hao mzee baba? [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hii habari mbaya sana kwa mungiki