Mwendo kasi sasa kila kona Dar

Uzinduzi kila uchao zero to show action wise.
We subili itaisha kwa pamoja mara paaa !! Wakenya mnabaki kushangaa tz ilivyo chomoka kimaendeleo na miundo mbinu makini
 
Good move for Dsm
 
Day ***** sijui wameangalia mini mpk kuziita hizo nchi in NCHI KUMI MASIKINI DUNIANI

Yaan hakuna BURUNDI,MALAWI NK BUT **** TZ NA ETHIOPIA?


We jamaa kuwa serious
Mi mwenyewe nashangaa!! Ndo maana huwa siyaamini sana haya matakwimu
 
Kitu nachoshangaa unatumia 255 code ya Tz lakini umeinvest nguvu kubwa kuiponda, kwanini usichange to 254 tujue moja!..Wanafiki kama nyie mnastahili bunduki!.
Watu kama hawa ni wa kuachana nao huenda stress za familia zinamsumbua. Inashangaza sana mada tunayoongelea ni kuhusu ujenzi wa BRT yeye analeta hadithi nyingine kabisa.
 
Tanzania ya neema inakuja
wakenya wanahaha maana ukweli wanaufahamu, tupo mbele yao kwa vyote isipokuwa uchumi tu wametuacha kidogo na kuna sababu tangu uhuru uchumi wa TANZANIA ulikuwa umedumaa kutokana na kutumia rasilimali zake nyingi (pesa, rasilimali watu na hata ardhi yake) kuhakikisha ndugu zetu wote wanakuwa huru, TANZANIA tumepambana mpaka na ISRAEL kuhusu uonevu wao dhidi ya wapalestina, MOROKO ukandamizaji wao dhidi ya SAHARA YA MAGHARIBI, NIGERIA, dhidi ya wanyonge wa jimbo la BIAFRA, Bila kusahau ukombozi wa kusini mwa bara la afrika, kusini mwa TANZANIA, NA KATI kuligeuka kuwa makazi na uwanja wa wapigania uhuru wa afrika na dunia nzima, kumbuka OAU LIBERATION COMMITTEE ilikuwa Dar es Salaam na TANZANIA kama msimamizi na mfadhili wake mkuu, ukombozi wa uganda dhidi ya nduli Idi amini, vita dhidi ya mabeberu nakadhalika. WAKATI HUO WOTE WAKENYA WALIKUWA WANAJIKOMBA KWA WAZUNGU NA KUSALITI JUHUDI ZA KULETA UKOMBOZI WA KWELI KWA MWAFRIKA HAPA NDIO TULIPOTOFAUTIANA NA KENYA PAMOJA NA HAYO YOTE WATANZANIA TUPO VIZURI, KAZI TULIYONAYO NI KUONGEZA PATO LETU LA TAIFA NA KAZI IMEANZA, HAKIKA MUDA SI MWINGI TUTAKUWA THE AFRICAN LEADING ECONOMY WALA HALINA UBISHI!
 
Japo bado kuna changamoto nyingi, lakini tuwe wakweli haya mabari yamesaidia sana. Sijajua kwa upande wa kibiashara ufanisi ukoje.

Naongelea huduma kwa jamii, yanasaidia sana.
Network ikikamilika yatasaidia sana kero na uchelewaji fulani utapungua maanake msafiri unaweza kuunganisha na kufika utakako bila kusubiri route fulani tu.
 
Mimi siongei mpaka nione graders ziko barabarani!
 
Sikiliza sasa serikali inasemaje hapa

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…