Mohamed Abubakar
JF-Expert Member
- Jun 26, 2014
- 984
- 1,179
Huu ni msemo maarufu pale wapendwa wetu hasa ktk wanasiasa wanapotangulia mbele ya haki.
Marafiki huja na neno la faraja la "Mwendo Umeumaliza, Iman Imeilinda"
Kauli hii Kwangu inamaanisha kuwa wanasiasa hasa wa imani ya ukristo wanapopigania siasa ajenda yao ya moyoni ni kupigania kwanza imani yao, kisha hupigania eitha Matumbo Yao au uzalendo.
Na hapa inakuja dhana ya kutochanganya siasa na dini inawahusu waislam pekee.
Na kwamba hoja kama hii kwa kuwa muandishi ni muislam tutaambiwa ni wadini.
Kwann ndege wote walie, akilia bundi uchuro.
Kwanini waislam hawaachwi huru wakitaka kutetea imani zao. Si kwa wana chadema si kwa wanaccm