Mwendo umeumaliza, imani umeilinda

Mohamed Abubakar

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2014
Posts
984
Reaction score
1,179
Huu ni msemo maarufu pale wapendwa wetu hasa ktk wanasiasa wanapotangulia mbele ya haki.

Marafiki huja na neno la faraja la "Mwendo Umeumaliza, Iman Imeilinda"

Kauli hii Kwangu inamaanisha kuwa wanasiasa hasa wa imani ya ukristo wanapopigania siasa ajenda yao ya moyoni ni kupigania kwanza imani yao, kisha hupigania eitha Matumbo Yao au uzalendo.

Na hapa inakuja dhana ya kutochanganya siasa na dini inawahusu waislam pekee.

Na kwamba hoja kama hii kwa kuwa muandishi ni muislam tutaambiwa ni wadini.

Kwann ndege wote walie, akilia bundi uchuro.

Kwanini waislam hawaachwi huru wakitaka kutetea imani zao. Si kwa wana chadema si kwa wanaccm
 
NI ngumu sana kutofautisha Uislam na ugaidi bila ya kuwepo udhibiti mkali wa hizo imani Kali zinazochochewa na ahadi ya wanawake bikira 72 peponi na mito ya pombe
 
NI ngumu sana kutofautisha Uislam na ugaidi bila ya kuwepo udhibiti mkali wa hizo imani Kali zinazochochewa na ahadi ya wanawake bikira 72 peponi na mito ya pombe
Kama hilo ni kweli kwann wadanganyika kutoka mikoa ya wakulima na wafugaji wanachama mikoa yenye waislam wengi iwapo watu hao ni magaidi.

Kama akili zenu ziko contaminated kiasi hiki. Ni vema tuendelee kuunga mkono chadema kwa sera yao ya majimbo yenye uhuru zaidi wa kujiamulia mambo yake.

Sera hii inatoa uhuri zaidi kwa population ktk serikali za majimbo kutunga sheria.

Kwani moja ya udhaifu wa mfumo wa serikali wa serikali kuu ni kulinda moja ya jamii kupigania imani zao na kuminya wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…