Tajiri wa kusini
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,079
- 2,947
Nakaribisha makasirko aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mimi nimeshangaa!Yani tukasirike kisa unakunywa kahawa na kusoma vitabu?😁😁😁😁😁
Hayo ni matumizi mabaya ya hasira🤣🤣Hata mimi nimeshangaa!
Vp unataka kuja kuniteka?Uko halmashauri gani mkuu
Tukasirikie ugonjwa wa kisukari!Hata mimi nimeshangaa!
Ndio mkuu tumekua matajiri ,ila wewe ndio unatuona sio matajiri ila sisi tunajiona matajirihivi wanaosomaga hivyo vitabu wamekuwa matajiri?
hivi wanaosomaga hivyo vitabu wamekuwa matajiri?
Stress za kukosa hela zile mkuuUnaukumbuka huu uzi wako?
www.jamiiforums.com/threads/nimeacha-kula-kwasasa-ili-niweze-kuexport-save-pesa.2235645/
Ulisema:
Nimekuja kugundua ya kwamba kula chakula Mara kwa Mara kunamaliza pesa aisee mpaka najuta Kwanini nakula chakula Kwahiyo nimeamua kujizuia kula chakula ili nituze pesa zifikie kiwango Fulani ndipo nitaanza kula
utajiri wa pesa nazungumziaNdio mkuu tumekua matajiri ,ila wewe ndio unatuona sio matajiri ila sisi tunajiona matajiri
sasa kitabu kimeandikwa how to be a rich , ukisoma si ndo unaelekea kwenye utajiriHakuna kitabu ambacho kinamfanya MTU kuwa tajiri au masikini .
Wanao mkuuutajiri wa pesa nazungumzia
mbona umejitoa tenaWanao mkuu